News
-
VIONGOZI WA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA VITENGO VYA USALAMA KUKABILI UHALIFU.
Kamishina kaunti ya Pokot magharibi Apolo Okelo ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana kushirikiana na idara za usalama katika kukabili hali ya utovu […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YALENGA KUJENGA KITUO KIPYA CHA AFYA MJINI MAKUTANO
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi inaendeleza mikakati ya kujenga kituo kipya cha afya mjini Makutano lengo kuu likiwa kupunguza msongamano katika hospitali ya Kapenguria. Akizungumza wakati akikagua eneo ambako […]
-
CHUO KIKUU CHA ELDORET CHAENDELEZA MRADI WA KUHIFADHI UDONGO NA KUTUNZA MAZINGIRA CHEPARERIA.
Chuo Kikuu Cha Eldoret kupitia kwa Wakfu wa Utunzaji wa Mazingira na uzalishaji kupitia ukulima kinaendeleza mradi wa kuzuia mmomonyoko wa udongo kwa kujenga vizuizi kwenye mikondo ya maji katika […]
-
ONYO YATOLEWA KWA WACHOMAJI MAKAA ENEO LA RIWO, POKOT MAGHARIBI.
Wakazi wa eneo la Riwo kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kutunza vyema miti eneo hilo na kutojihusisha na shughuli ya ukataji miti kwa ajili ya kuendeleza biashara ya makaa. Ni […]
-
RAIS ATAKIWA KUCHUKUA HATUA NA KUMALIZA MARA MOJA ‘MCHEZO’ WA RAILA.
Mwakilishi wadi mteule kaunti ya Pokot magharibi Elijah Kasheusheu ametoa wito kwa rais William Ruto kusimama kidete na kukabiliana na vinara wa chama cha muungano wa azimio la umoja one […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MAFUNZO KWA WALIMU WA ECDE KUHUSU MTAALA WA CBC.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imeandaa warsha ya walimu wa chekechea ECDE ili kutoa mafunzo kwa walimu hao hasa kuhusu jinsi ya kuwashughulikia watoto kabla ya kujiunga na shule […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUIMARISHA HADHI YA MIJI.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi inaendeleza mikakati kwa ushirikiano na idara mbali mbali kuhakikisha kwamba miji ya kapenguria na Chepareria inaimarika hata zaidi. Akizungumza wakati wa uteuzi wa wanachama […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA MANUFAA YA WAKAZI.
Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametoa wito kwa viongozi katika kaunti hiyo kushirikiana na kuweka maslahi ya wakazi mbele ili kuhakikisha kwamba wananufaika pakubwa chini ya […]
-
WANASIASA WALAUMIWA KUWA CHANZO CHA UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Viongozi wa kisiasa kutoka kaunti za bonde la kerio wamewahusisha baadhi ya wanasiasa na utovu wa usalama ambao umekithiri maeneo haya katika siku za hivi karibuni. Wakizungumza katika hafla moja […]
-
POGHISO AWASUTA WANASIASA KWA KUGEUZA HAFLA YA MAOMBI ILIYOONGOZWA NA RAIS KUWA UKUMBI WA MALUMBANO.
Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amekosoa jinsi ambavyo viongozi wa kisiasa walijiendesha katika hafla ya shukrani iliyoongozwa na rais William Ruto katika uwanja wa makutano kaunti […]
Top News