News
-
MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YATAJWA KUWA CHANZO KIKUU CHA MAGONJWA YA AKILI POKOT MAGHARIBI.
Idadi kubwa ya visa vya ugonjwa wa akili miongoni mwa vijana husababishwa na matumizi ya dawa za kulevya. Haya ni kwa mujibu wa daktari mkuu katika hospitali ya rufaa ya […]
-
WAKAZI WAHIMIZWA ‘KUTIA BREKI’ UZAZI KACHELIBA.
Wito umetolewa kwa wakazi eneo la Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi kukumbatia mpango uzazi kama njia moja ya kukuza kizazi chenye afya. Ni wito wake naibu kamishina eneo hilo Kenneth […]
-
POGHISIO AWASUTA VIONGOZI WANAOENDELEZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2027.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kuwakosoa vikali baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wanadaiwa kuanza kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 mwaka mmoja tu tangu uchaguzi mkuu […]
-
MURKOMEN: SERIKALI INAFANYA KILA JUHUDI KUWAONDOA WAHALIFU BONDE LA KERIO.
Waziri wa barabara Kipchumba Murkomen amesema kwamba wizara yake imetenga fedha za kujenga barabara za kiusalama katika kaunti za bonde la kerio kama njia moja ya kuimarisha doria za maafisa […]
-
MITIHANI YA KCPE NA KPSEA YAANZA HUKU VIONGOZI MBALI MBALI WAKIWATAKIA WATAHINIWA HERI NJEMA.
Mitihani ya kitaifa kwa darasa la nane KCPE na gredi ya sita KPSEA ikiwa imeanza rasmi viongozi mbali mbali kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kuwatakia heri njema watahiniwa wanaofanya mitihani […]
-
WATAHINIWA WA MITIHANI YA KITAIFA POKOT MAGHARIBI WAHAKIKISHIWA USALAMA WA KUTOSHA KATIKA KIPINDI HICHO CHA MITIHANI.
Mitihani ya kitaifa kwa kidato cha nne KCSE, darasa la Nane KCPE na gredi ya sita KPSEA inapotarajiwa kuanza rasmi jumatatu wiki ijayo, kamishina wa kaunti ya Pokot magharibi Apolo […]
-
LONYANGAPUO AWASUTA VIONGOZI WANAOENDELEZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2027.
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amelalamikia hatua ya baadhi ya viongozi ambao alisema kwamba wameanza kuendeleza kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 mwaka mmoja tu […]
-
WAKAZI SIGOR WATAKIWA KUTOKUBALI KUHADAIWA NA VIONGOZI WANAOLENGA KULETA UHASAMA MIONGONI MWAO.
Mbunge wa Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong amewasuta baadhi ya viongozi wa kisiasa kaunti hiyo ambao alidai kwamba wanaeneza propaganda ambazo huenda zikachochea uhasama miongoni mwa wananchi. […]
-
HAFLA ZA MICHANGO KACHELIBA ZAPIGWA MARUFUKU HADI ITAKAPOKALIMIKA MITIHANI YA KITAIFA.
Idara ya usalama eneo la Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi imepiga marufuku mikutano ya michango ya silk eneo hilo hadi itakapokamilika mitihani ya kitaifa hasa wa darasa la nane ambao […]
-
KACHAPIN: MAONYESHO YA KILIMO YATATUMIKA KUBADILI SURA YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI MACHONI PA ULIMWENGU.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amesema maonyesho ya kilimo ambayo yanatarajiwa kuandaliwa katika uwanja wa maonyesho ya kilimo wa Kishaunet kaunti hiyo yatatumika kudhihirishia ulimwengu kwamba kaunti […]
Top News










