Author: Charles Adika
-
WAKAZI TRANS NZOIA WAHIMIZWA KUWACHAGUA VIONGOZI WATAKAOIMARISHA MAISHA YAO.
Ipo haja ya kuwachagua viongozi bora watakaojali maslahi ya wapiga kura ikiwemo usalama mbali na maendeleo mashinani.Akiongea katika Wadi ya Tuwani Kaunti ya Trans Nzoia mwanasiasa Mathew Njoroge amewarai wakazi […]
-
WADAU WATAKIWA KUANGAZIA KWA KINA SWALA LA MATOKEO DUNI KATIKA MTIHANI WA KITAIFA KCSE POKOT MAGHARIBI.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ni kiongozi wa hivi punde kuelezea kutoridhishwa na matokeo ya mtihani wa kitaifa kwa kidato cha nne KCSE katika kaunti hii.Akizungumza […]
Top News






