Author: Charles Adika
-
WAKAAZI WA KAUNTI HII POKOT WAHIMIZWA KUPANDA MITI ZAIDI
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi kuendeleza juhudi za upanzi wa miti ili kuafikia asilimia kubwa ya misitu. Akizungumza wakati wa upanzi wa miti katika shule […]
-
GAVANA LONYANGAPUO AIMARISHA SERKALI YAKE KATIKA KUAJIRI MAAFISA ZAIDI
Siku chache baada ya baadhi ya viongozi kaunti hii ya Pokot magharibi kutaja serikali ya gavana John Lonyangapuo kuwa isiyo na maafisa wenye ujuzi katika sekta mbali mbali hali ambayo […]
-
UKOSEFU WA SERKALI KUTOA VISODO WALEMAZA MASOMO TRANSNZOIA
Ukosefu wa serikali kutoa sodo kwa wanafunzi wa kike kwa wakati imetajwa kama chagamoto wengi wa wathiriwa wakikosa masomo hali inauolemaza usawa baina ya wavulana na wasichana.Kwa mujibu wa viongozi […]
-
VIONGOZI WATAKA MIRADI ILIYOANZISHWA KAUNTI YA TRANSNZOIA KUKAMILISHWA
Mwaniaji wa usenata katiaka kaunti ya transzoia henry ole ndiema amesema miradi mikuu iliyoanzishwa muhula wa kwanza wa gavana Patrick khaemba vilevile akihudumu kwenye wadhifa huo wa usenata sharti ikamilishwe,Miradi […]
Top News








