Author: Charles Adika
-
KISA CHA KUPIGWA NG’OMBE RISASI NA POLISI KAINUK CHAZIDI KUKASHIFIWA.
Kisa cha kuuliwa ng’ombe zaidi ya 100 mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Turkana kitendo kinachodaiwa kutekelezwa na maafisa wa polisi kimeendelea kusutwa vikali na viongozi […]
-
VIJANA 7 KUTOKA POKOT MAGHARIBI WAZUILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI CHA LOKICHAR, TURKANA.
Viongozi wa kaunti ya Pokot magharibi wametoa wito wa kuachiliwa huru vijana saba ambao wanadaiwa kushikiliwa katika kituo cha polisi cha Lokichar katika kaunti ya Turkana baada ya kukamatwa eneo […]
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WATAKA KUSHIRIKISHA WANANCHI KIKAMILIFU KATIKA KUTAFUTA SULUHU KWA UTOVU WA USALAMA.
Suluhu la utovu wa usalama katika kaunti za eneo la eneo la bonde la kerio liko mikononi mwa wananchi kutoka maeneo hayo.Haya ni kulingana na aliyekuwa mwaniaji wa ubunge eneo […]
-
MIMBA ZA MAPEMA NA TATIZO LA KARO YATAJWA MIONGONI MWA SABABU ZA KUTOFANYA VYEMA KATIKA KCSE BAADHI YA WANAFUNZI.
Visa vya mimba za mapema miongoni mwa baadhi ya wanafunzi wa kike kaunti ya Pokot magharibi pamoja na tatizo la karo ni baadhi ya changamoto ambazo zilipelekea baadhi ya shule […]
Top News









