Author: Charles Adika
-
KUKITHIRI MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA NA POMBE KWAIBUA HOFU KACHELIBA.
Wakazi wa Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia kukithiri matumizi ya mihadarati na pombe miongoni mwa vijana. Wakiongozwa na kiongozi wa vijana eneo hilo Job Wanjala wakazi hao […]
-
MASOMO KATIKA SHULE ZA JUNIOR SECONDARY YAKABILIWA NA CHANGAMOTO.
Wadau katika sekta ya elimu kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia changamoto ambazo zinakabili utekelezwaji wa mtaala mpya wa elimu CBC. Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya St Brendan […]
-
VIONGOZI WATAKA KUWEKWA MIKAKATI YA KUKABILI HALI YA UKAME KATIKA KAUNTI ZA WAFUGAJI
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi sasa wanatoa changamoto kwa serikali ya rais William Ruto kuweka mikakati ya kuhakikisha kwamba swala la ukame linakabiliwa hasa katika kaunti za […]
-
SERIKALI YALAUMIWA KWA KUENDESHA OPARESHENI YA KIUSALAMA KWA MAPENDELEO KASKAZINI MWA BONDE LA UFA.
Mbunge wa Pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi David Pkosing ameilaumu serikali kwa kile amedai kwamba imeruhusu wakazi katika kaunti jirani kumiliki silaha kinyume cha sheria baada ya wakazi […]
Top News








