Author: Charles Adika
-
WIZARA YA ELIMU POKOT MAGHARIBI YATARAJIWA KUFANYIA UCHUNGUZI SHULE YA UPILI YA CHEPKORNISWO KUFUATIA MAANDAMANO YA WANAFUNZI.
Waziri wa elimu kaunti ya Pokot magharibi Rebecca Lotuliatum amelalamikia kisa cha wanafunzi wa shule ya upili ya Chepkorniswo eneo la pokot kusini kuandamana hadi afisi za kaunti mjini Kapenguria […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEA KUWEKA MIKAKATI YA KUHAKIKISHA USALAMA UNADUMISHWA.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imefungua barabara ya kutoka karawal kuelekea Kapushen hadi Kongolokwan mpakani pa maeneo bunge ya pokot kusini na Sigor kama baadhi ya juhudi za kuimarisha […]
-
RAIS RUTO ATAKIWA KUFANYA KILA JUHUDI KUMALIZA UHALIFU ULIOKITHIRI BONDE LA KERIO
.Viongozi mbali mbali kutoka eneo la bonde la kerio sasa wanamtaka rais William Ruto kufanya kila awezalo kuhakikisha kwamba usalama umerejeshwa eneo hilo na kukomesha mahangaiko ya wakazi kwenye maeneo […]
-
VISA VYA WATAHINIWA WA KCPE AMBAO HUENDA WAKAKOSA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KUFUATIA KARO VYAZIDI KURIPOTIWA.
Wanafunzi waliofanya mtihani wa KCPE mwaka 2022 wakiendelea kuripoti katika shule mbali mbali za upili walizoitwa idadi ya wanafunzi wanaohitaji ufadhili wa kuendeleza elimu yao ya shule ya upili imeendelea […]
Top News








