Author: Charles Adika
-
-
VIONGOZI WA KENYA KWANZA WAKASHIFU MAANDAMANO YA MRENGO WA AZIMIO.
Viongozi wa kaunti ya Pokot magharibi wanaoegemea mrengo wa Kenya kwanza wameshutumu vikali maandamano yaliyoendeshwa na mrengo wa azimio katika kuadhimisha siku ya sabasaba ijumaa iliyopita kuishinikiza serikali kupunguza gharama […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIPA KIPAU MBELE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KATIKA USAJILI WA WALIMU.
Serikali imetakiwa kuwekeza zaidi katika elimu kaunti ya Pokot magharibi ili kuiwezesha kufikia viwango vya kaunti zingine nchini ikizingatiwa ilisalia nyuma zaidi kwa kipindi kirefu. Wakiongozwa na mwenyekiti wa bodi […]
-
-
UHABA WA LISHE NA MAJI KWA MIFUGO WATAJWA KUWA CHANZO CHA UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Mizozo mingi ambayo imekuwa ikishuhudiwa maeneo ya mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani za Elgeyo marakwet na Turkana na kupelekea hali ya utovu wa usalama inatokana […]
-
KIWANDA CHA SIMITI CHA SEBIT CHAAHIDI KUTENGA ASILIMIA 80 YA NAFASI ZA AJIRA KWA WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amempongeza mwekezaji ambaye anaendeleza ujenzi wa kiwanda cha simiti eneo la Sebit eneo bunge la Pokot kusini anachosema kitakuwa cha manufaa makubwa […]
Top News









