Author: Charles Adika
-
ZAIDI YA WANAFUNZI ALFU 7 WAREJESHWA SHULENI POKOT MAGHARIBI KUFUATIA USHIRIKIANO KATI YA IDARA YA ELIMU NA MASHIRIKA YA KIJAMII.
Zaidi ya wanafunzi alfu 7 ambao walikuwa wameacha masomo wamerejeshwa shuleni kufuatia harakati za kuwarejesha shuleni wanafunzi hao, ambazo zinaendelezwa na idara ya elimu kwa ushirikiano na mashirika mbali mbali […]
-
WANAFUNZI ALFU MOJA WA KIKE POKOT KASKAZINI WANUFAIKA NA SODO KUPITIA MPANGO WA BEYOND ZERO.
Idara ya afya kaunti ya Pokot magharibi imepokea sodo alfu moja kutoka kwa mpango wa beyond zero, ambao unatarajiwa kuendelea kusambaza vitambaa hivyo kila muhula kwa kipindi cha mwaka mmoja […]
-
POLISI WANASA LITA 40 ZA POMBE HARAMU KATIKA MSAKO ENEO LA LITYEI POKOT MAGHARIBI.
Maafisa wa polisi mjini Makutano katika kaunti ya Pokot magharibi wamenasa lita 40 za pombe katika boma la mkazi mmoja eneo la Lityei viungani mwa mji wa makutano, huku mtu […]
Top News









