Author: Charles Adika
-
CHAMA CHA KUPPET POKOT MAGHARIBI CHAPONGEZA SHULE ZA KAUNTI HIYO KWA MATOKEO BORA YA MTIHANI WA KCSE.
Chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET tawi la kaunti ya Pokot magharibi kimepongeza matokeo bora ya mtihani wa kitaifa kwa kidato cha nne KCSE […]
-
SHULE YA UPILI YA CHEWOYET YAENDELEZA MATOKEO BORA KATIKA MTIHANI WA KCSE POKOT MAGHARIBI.
Shule mbali mbali za upili katika kaunti ya Pokot magharibi zimeendelea kusherehekea matokeo bora ambayo zimesajili katika mtihani wa kitaifa kwa kidato cha nne KCSE mwaka jana ambayo yalitangazwa jumatatu […]
-
WAKAZI WA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA UTOVU WA USALAMA WATAKIWA KUWAREJESHA WANAO SHULENI.
Naibu gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole amewataka wazazi wa wanafunzi katika shule ambazo zilifungwa kufuatia utovu wa usalama maeneo ya mipakani kuhakikisha kwamba wanao wanaenda shuleni shughuli […]
-
ENEO LA STATE LODGE KUFUNGULIWA ENEO LA TURKWEL POKOT MAGHARIBI.
Wizara ya usalama nchini kwa ushirikiano na mamlaka ya maendeleo eneo la Kerio Valley KVDA inaendeleza mikakati ya kufufua eneo litakalotumika na rais kuendeleza shughuli zake maarufu state Lodge eneo […]
Top News









