Author: Charles Adika
-
WANAFUNZI WASHAURIWA KUJIEPUSHA NA MIGOMO SHULENI.
Mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Pokot magharibi Simon Wamae amewahimiza wanafunzi kukoma kujihusisha na hulka ambazo huenda zikaharibu mali ya shule wakati wanapolalamikia maswala mbali mbali shuleni.Akizungumza afisini mwake, […]
-
WAGOMBEA NYADHIFA KATIKA UCHAGUZI WA KNUT WAENDELEA KUJIPIGIA DEBE.
Wagombea wa viti mbali mbali katika chama cha walimu nchini KNUT kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kujipigia debe kuelekea uchaguzi wa viongozi wa chama hicho ambao umeratibiwa kuandaliwa tarehe 24 […]
-
KAMPENI YA KUHAKIKISHA WATOTO WOTE WANAENDA SHULE YAENDELEA POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi kuhakikisha kwamba wanao waliofanya mtihani wa KPSEA na wa darasa la nane KCPE wanajiunga na viwango ambavyo wanapasa kuendeleza masomo yao. […]
Top News








