Tag: West Pokot
-
Idara ya usajili yapelekea huduma ya vitambulisho mashinani Pokot Magharibi
Na Angela Cherono,Idara ya usajili wa watu nchini inaendeleza zoezi la kuwasajili wakazi maeneo ya mashinani katika kaunti za maeneo kame nchini ambao wametimu umri wa kupata vitambulisho vya kitaifa […]
-
Viongozi waendelea kutuma risala za rambi rambi kufuatia kifo cha Raila Odinga
Na Benson Aswani,Viongozi mbali mbali nchini wameendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ambaye aliaga dunia mapema jana akiwa nchini India. Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi Simon […]
-
Viongozi waelezea haja ya kudhibitiwa shughuli ya uchimbaji madini Masol
Na Benson Aswani,Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ametaka shughuli ya uchimbaji madini eneo la Masol Kudhibitiwa. Akizungumza baada ya kikao cha kubuni mikakati ya kuweka kamati […]
-
Shule ya wavulana ya Kapenguria yapandishwa hadhi na kuwa ya kitaifa
Na Benson Aswani,Walimu na wazazi wa shule ya upili ya wavulana ya Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi wamepongeza hatua ya kupandishwa hadhi shule hiyo kutoka kiwango cha extra county hadi […]
-
Mpango wa ‘Nyota’ wakosa msisimko uliotarajiwa
Na Benson Aswani,Idadi ndogo sana ya vijana walijitokeza katika hafla ya uhamasisho kuhusu mpango wa kuwawezesha vijana kiuchumi wa Nyota ambao umehasisiwa na rais William Ruto kwa msaada wa benki […]
-
Wakulima watakiwa kununua dawa za mimea kutoka kwenye maduka yaliyoidhinishwa
Na Benson Aswani,Wakulima katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa makini wanaponunua dawa za mimea na kuhakikisha kwamba wananunua kutoka kwenye maduka ambayo yameidhinishwa na bodi ya bidhaa za kudhibiti […]
-
Wakazi wa kambi karayi waonywa dhidi ya kukaribia machimbo ya dhahabu yaliyotelekezwa
Na Emmanuel Oyasi,Wakazi eneo la Kambi Karayi na maeneo mengine ya kuchimba madini kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kutoendeleza shughuli ya uchumbaji madini katika machimbo ambayo yametelekezwa. Akizungumza ijumaa siku […]
-
Chanjo ya HPV yazinduliwa wazazi wakihimizwa kuhakikisha wanao wanapewa chanjo hiyo
Na Benson Aswani,Kundi la wake wa magavana nchini limetoa wito kwa wananchi kukumbatia chanjo ya kuzuia saratani ya kizazi HPV ambayo imezinduliwa rasmi na kundi hilo la wake wa magavana […]
-
Shinikizo za kutaka shule za JSS kujisimamia zaendelea kutolewa na vyama vya walimu
Na Benson Aswani,Chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET kimeshikilia msimamo wake kwamba ni lazima serikali itenganishe shule za sekondari msingi JSS na shule za […]
Top News










