Tag: West Pokot
-
-
WANAFUNZI WASHAURIWA KUJIEPUSHA NA MIGOMO SHULENI.
Mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Pokot magharibi Simon Wamae amewahimiza wanafunzi kukoma kujihusisha na hulka ambazo huenda zikaharibu mali ya shule wakati wanapolalamikia maswala mbali mbali shuleni.Akizungumza afisini mwake, […]
-
KAMPENI YA KUHAKIKISHA WATOTO WOTE WANAENDA SHULE YAENDELEA POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi kuhakikisha kwamba wanao waliofanya mtihani wa KPSEA na wa darasa la nane KCPE wanajiunga na viwango ambavyo wanapasa kuendeleza masomo yao. […]
Top News








