Tag: @Agriculture
-
Vijana watakiwa kujitosa kwenye kilimo na kutotegemea kazi za afisini
Na Benson Aswani,Wito umetolewa kwa vijana katika kaunti ya Pokot magharibi kujitosa katika kilimo ili kujipatia riziki za kila siku badala ya kutegemea kuajiriwa katika kazi za afisini ambazo zimekuwa […]
-
Viongozi Pokot magharibi na Turkana watakiwa kuimarisha mazingira ya kutekelezwa miradi ya maendeleo
Na Benson Aswani,Waziri wa maswala ya afrika mashariki, maendeleo ya kikanda na maeneo kame Beatrice Askul amewataka viongozi wa kaunti za Pokot magharibi na Turkana kushirikiana kuhakikisha kwamba hali ya […]
-
Serikali yatakiwa kuanzisha miradi ya maendeleo Bonde la Kerio kudumisha usalama.
Na Benson Aswani,Seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Julius Murgor ametoa wito kwa serikali kuanzisha miradi ya maendeleo maeneo ya mipakani pa kaunti za bonde la kerio hasa baada ya […]
-
Serikali ya kaunti yatoa hundi ya shilingi milioni 19 kwa makundi ya wakulima Karas
Na Benson Aswani,Makundi 19 ya wakulima eneo la Karas kaunti ya Pokot magharibi yamenufaika na shilingi milioni 19 kutoka kwa serikali ya kaunti kama ufadhili wa kuyawezesha kuendeleza shughuli zao […]
-
Maonyesho ya kilimo Pokot Magharibi yafunguliwa rasmi
Na Emmanuel Oyasi,Maonyesho ya kilimo katika kaunti ya Pokot magharibi yameanza rasmi wito, ukitolewa kwa wakazi wa kaunti hiyo kujitokeza na kuhudhuria maonyesho hayo ambayo yanaandaliwa katika uwanja wa maonyesho […]
Top News





