News
-
NZI WATAJWA KUWA KERO KATIKA HOSPITALI YA KAPENGURIA POKOT MAGHARIBI.
Wagonjwa katika hospitali ya kapenguria kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia kukithiri nzi katika wadi za hospitali hiyo hali wanayoelezea hofu kwamba huenda ikapelekea mkurupuko wa magonjwa yanayotokana na uchafu. Walisema […]
-
OPARESHENI YA KIUSALAMA KASKAZINI MWA BONDE LA UFA YAENDELEA KUKOSOLEWA NA WADAU MAENEO HAYO.
Wanaharakati kaunti ya Pokot magharibi wamekosoa oparesheni ya kiusalama inayoendelezwa na maafisa wa polisi kwa ushirikiano na wale wa jeshi mipakani pa kaunti hiyo, kuwakabili wezi wa mifugo ambao wamekuwa […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUIMARISHA MAZINGIRA YA WAFANYIBIASHARA.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kupitia idara ya biashara, viwanda, mashirika na kawi imeratibu miradi mbali mbali ambayo inanuiwa kuwanufaisha wakazi hasa wafanyibiashara katika juhudi za kupiga jeki shughuli […]
-
MAUAJI LAMI NYEUSI YAENDELEA KUSUTWA NA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI.
Viongozi kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kushutumu mauaji ya watu watano eneo la Lami nyeusi mpakani pa kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana ambapo pia mbuzi 18 waliibwa na […]
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WASUTA WIZARA YA USALAMA JINSI INAVYOSHUGHULIKIA UTOVU WA USALAMA ENEO HILO.
Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert komole ameendelea kusisitiza haja ya serikali kupitia idara ya usalama kuangazia njia mbadala ya kukabiliana na utovu wa usalama eneo la bonde la […]
-
WIZARA YA USALAMA YATAKIWA KUBADILI MBINU YA KUWAKABILI WEZI WA MIFUGO BONDE LA KERIO.
Pana haja ya serikali kuu kupitia wizara ya usalama wa ndani kubadilisha mbinu ya kuwakabili wezi wa mifugo ambao licha ya oparesheni inayoendelea kwenye kaunti sita za bonde la ufa […]
-
WATU WATANO WAUA KATIKA SHUMBULIO LA HIVI PUNDE KIJIJI CHA LAMI NYEUSI POKOT MAGHARIBI.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameshutumu vikali mauaji ya watu watano eneo la lami nyeusi mpakani pa kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana na ambayo yanaaminika kutekelezwa na […]
-
MSAKO DHIDI YA WANAOMILIKI BUNDUKI WAENDELEZWA UGANDA, WATU 26 KUTOKA JAMII YA POKOT WAKIZUILIWA NA POLISI.
Takriban watu 26 kutoka jamii ya pokot wanaoishi nchini Uganda wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Nakapirpirit kwa tuhuma za uvamizi kwa kutumia bunduki. Msako dhidi ya wanaomiliki bunduki unaoendelezwa […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA WA WALIMU MAENEO YANAYOSHUHUDIA UVAMIZI.
Viongozi mbali mbali katika kaunti ya Pokot magharibi wamelaani vikali kisa ambapo mwalimu wa shule ya upili ya Turkwel alivamiwa na majangili na kujeruhiwa vibaya mpakani pa kaunti ya Pokot […]
-
WAKULIMA POKOT MAGHARIBI WAENDELEA KUIMARIKA CHINI YA MRADI WA KENYA CLIMATE SMART.
Mradi wa Kenya climate smart umeendeleza harakati za kuyawezesha makundi mbali mbali ya wakulima kaunti ya Pokot magharibi kuimarisha kilimo chao hasa kinachohusu ufugaji na kilimo cha mimea. Msirikishi wa […]
Top News









