News
-
WAZAZI WALAUMIWA KWA KUKITHIRI MIMBA ZA MAPEMA MIONGONI MWA WANAFUNZI POKOT MAGHARIBI.
Katibu wa chama cha walimu nchini KNUT tawi la kaunti ya Pokot magharibi Martine Sembelo amewalaumu pakubwa wazazi kufuatia ongezeko la mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi kaunti hiyo. Akizungumza […]
-
POKOT MAGHARIBI YAORODHESHWA MIONGONI MWA KAUNTI ZILIZO NA VISA VINGI VYA UGONJWA WA KIFUA KIKUU.
Takwimu zinaonyesha kwamba kaunti ya Pokot magharibi ni moja ya kaunti ambazo zinaongoza nchini kwa visa vya wanaougua ugonjwa wa kifua kikuu. Mkurugenzi wa shirika la QuadExcel Research Training and […]
-
BARAZA LA WAZEE POKOT MAGHARIBI LAPONGEZA KUACHILIWA MIFUGO WALIOKUWA WAMEZUILIWA UGANDA.
Mwenyekiti wa baraza la wazee eneo la pokot kusini kaunti ya Pokot magharibi Mastayit Lokales amepongeza hatua ya maafisa wa polisi wa taifa jirani la Uganda kuwaachilia mifugo wa wakazi […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUKUMBATIA BIASHARA YA USHANGA KATIKA KUJIKIMU KIMAISHA.
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi hasa kina mama kukumbatia biashara ya ushanga ambayo imetajwa kuwa yenye manufaa makubwa na ambayo itawasaidia katika kukimu mahitaji yao ya […]
-
UTAMADUNI WATAJWA KUWA KIZINGITI KATIKA KUAFIKIWA USAWA WA KIJINSIA POKOT MAGHARIBI.
Tamaduni na imani za kijamii pamoja na siasa zimesalia changamoto kuu katika juhudi za kuafikiwa usawa wa kijinsia katika kaunti ya Pokot magharibi. Akizungumza katika hafla ya kuwahamasisha wanahabari kuhusiana […]
-
SHIRIKA LA ACF LAENDELEZA MIKAKATI YA KUKABILI ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI POKOT MAGHARIBI.
Shirika la ACF limewapokeza makundi 28 ya wakulima kutoka maeneo ya Pokot ya Kaskazini, pokot kusini na pokot ya kati kaunti ya Pokot magharibi miche ya mipaipai, miembe na miparachichi […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUBADILI DHANA KUHUSU VYUO VYA KIUFUNDI NA KUVIKUMBATIA.
Wito umetolewa kwa jamii katika kaunti ya Pokot magharibi kubadili dhana kuhusu vyuo vya kiufundi vya TVET kuwa ni vya watu ambao walifeli kwenye mitihani yao. Afisa wa mipango katika […]
-
WAZAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUTAMBUA UMUHIMU WA ELIMU KWA AJILI YA WATOTO WAO.
Wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia elimu kwa ajili ya wanao kwa manufaa ya siku zao za usoni. Ni wito wake mkurugenzi wa elimu kaunti hiyo Simon Wamae […]
-
KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YA POKEA DAWA ZA KIMA CHA SHILINGI MILIONI 49.9 KUTOKA KEMSA.
Huduma za matibabu katika hospitali za kaunti ya Pokot magharibi zinatarajiwa kuimarika zaidi baada ya serikali ya kaunti kupokea dawa za kima cha shilingi milioni 49, 900 alfu, 916 kutoka […]
-
OGWENO: VITA DHIDI YA UKEKETAJI ALALE VIMEFAULU PAKUBWA.
Msaidizi wa kamishina eneo la Alale kaunti ya Pokot magharibi Mourice Ogweno amesema kwamba visa vya ukeketaji eneo hilo vimepungua pakubwa hadi chini ya asilimia 5 mwaka huu. Ogweno alisema […]
Top News