News
-
Idara ya usajili yapelekea huduma ya vitambulisho mashinani Pokot Magharibi
Na Angela Cherono,Idara ya usajili wa watu nchini inaendeleza zoezi la kuwasajili wakazi maeneo ya mashinani katika kaunti za maeneo kame nchini ambao wametimu umri wa kupata vitambulisho vya kitaifa […]
-
Viongozi waendelea kutuma risala za rambi rambi kufuatia kifo cha Raila Odinga
Na Benson Aswani,Viongozi mbali mbali nchini wameendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ambaye aliaga dunia mapema jana akiwa nchini India. Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi Simon […]
-
Poghisio ashutumu kuchipuka tena visa vya uvamizi kwenye mipaka ya Pokot Magharibi na Turkana
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameshutumu vikali visa vya uvamizi ambavyo vimeanza kushuhudiwa tena mipakani pa kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana. Akizungumza […]
-
World Vision laikabidhi rasmi serikali ya kaunti ya Pokot Magharibi soko la mifugo la Orolwo
Na Emmanuel Oyasi,Wakulima wa mifugo katika eneo la Orolwo wadi ya Kodich katika kaunti ya Pokot magharibi wamepata afueni baada ya shirika la World Vision kukabidhi rasmi soko la mifugo […]
-
Viongozi waelezea haja ya kudhibitiwa shughuli ya uchimbaji madini Masol
Na Benson Aswani,Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ametaka shughuli ya uchimbaji madini eneo la Masol Kudhibitiwa. Akizungumza baada ya kikao cha kubuni mikakati ya kuweka kamati […]
-
Tamaduni zilizopitwa na wakati zatajwa kuwa changamoto kwa maendeleo ya mtoto wa kike
Na Benson Aswani,Mtoto wa kike katika kaunti ya Pokot magharibi ana uwezo wa kuafikia upeo wa juu zaidi iwapo atapewa nafasi na njia ya kuafikia upeo huo. Akizungumza katika hafla […]
-
Shule ya wavulana ya Kapenguria yapandishwa hadhi na kuwa ya kitaifa
Na Benson Aswani,Walimu na wazazi wa shule ya upili ya wavulana ya Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi wamepongeza hatua ya kupandishwa hadhi shule hiyo kutoka kiwango cha extra county hadi […]
-
Mpango wa ‘Nyota’ wakosa msisimko uliotarajiwa
Na Benson Aswani,Idadi ndogo sana ya vijana walijitokeza katika hafla ya uhamasisho kuhusu mpango wa kuwawezesha vijana kiuchumi wa Nyota ambao umehasisiwa na rais William Ruto kwa msaada wa benki […]
-
Wakulima watakiwa kununua dawa za mimea kutoka kwenye maduka yaliyoidhinishwa
Na Benson Aswani,Wakulima katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa makini wanaponunua dawa za mimea na kuhakikisha kwamba wananunua kutoka kwenye maduka ambayo yameidhinishwa na bodi ya bidhaa za kudhibiti […]
-
Wakazi wa kambi karayi waonywa dhidi ya kukaribia machimbo ya dhahabu yaliyotelekezwa
Na Emmanuel Oyasi,Wakazi eneo la Kambi Karayi na maeneo mengine ya kuchimba madini kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kutoendeleza shughuli ya uchumbaji madini katika machimbo ambayo yametelekezwa. Akizungumza ijumaa siku […]
Top News










