News
-
MAAFISA WA ASTU WASHUTUMIWA KWA KUWAHANGAISHA WAKAZI WA KERINGET .
Na Benson Aswani Wakazi wa eneo la Keringet kaunti ya Pokot magharibi wamewasuta maafisa wa usalama wa kitengo cha kukabiliana na wizi wa mifugo ASTU kwa kile wamedai kunyanyaswa na […]
-
CHANGAMOTO ZINAZOMKUMBA MTOTO WA KIKE POKOT MAGHARIBI ZATAJWA KUCHANGIA MATOKEO DUNI KATIKA MITIHANI YA KITAIFA.
Na Emmanuel Oyasi Changamoto nyingi ambazo mtoto wa kike anapitia miongoni mwa jamii katika kaunti ya Pokot magharibi zimetajwa kuwa chanzo cha wengi wa wanafunzi wa kike kutofanya vyema katika […]
-
MAAFISA WA AKIBA NPR POKOT MAGHARIBI WAANZA RASMI MAJUKUMU YAO.
Maafisa wa akiba NPR ambao waliteuliwa kuhudumu katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kushirikiana kikamilifu na maafisa wengine wa usalama ili kuhakikisha kwamba malengo ya kukabili utovu wa usalama hasa […]
-
CHAMA CHA KUPPET POKOT MAGHARIBI CHAPONGEZA SHULE ZA KAUNTI HIYO KWA MATOKEO BORA YA MTIHANI WA KCSE.
Chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET tawi la kaunti ya Pokot magharibi kimepongeza matokeo bora ya mtihani wa kitaifa kwa kidato cha nne KCSE […]
-
SHULE YA UPILI YA CHEWOYET YAENDELEZA MATOKEO BORA KATIKA MTIHANI WA KCSE POKOT MAGHARIBI.
Shule mbali mbali za upili katika kaunti ya Pokot magharibi zimeendelea kusherehekea matokeo bora ambayo zimesajili katika mtihani wa kitaifa kwa kidato cha nne KCSE mwaka jana ambayo yalitangazwa jumatatu […]
-
WAKAZI WA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA UTOVU WA USALAMA WATAKIWA KUWAREJESHA WANAO SHULENI.
Naibu gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole amewataka wazazi wa wanafunzi katika shule ambazo zilifungwa kufuatia utovu wa usalama maeneo ya mipakani kuhakikisha kwamba wanao wanaenda shuleni shughuli […]
-
ENEO LA STATE LODGE KUFUNGULIWA ENEO LA TURKWEL POKOT MAGHARIBI.
Wizara ya usalama nchini kwa ushirikiano na mamlaka ya maendeleo eneo la Kerio Valley KVDA inaendeleza mikakati ya kufufua eneo litakalotumika na rais kuendeleza shughuli zake maarufu state Lodge eneo […]
-
WALIOHAMA KUTOKANA NA UTOVU WA USALAMA MIPAKANI PA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUREJEA.
Mwakilishi wadi ya Siyoi kaunti ya Pokot magharibi Esther Serem ametoa wito kwa wakazi waliohama makwao kutokana na utovu wa usalama hasa maeneo ya mipakani pa kaunti ya Pokot magharibi, […]
-
KAMATI YA ELIMU KATIKA BUNGE LA POKOT MAGHARIBI YATOA HAKIKISHO LA KUTOLEWA MAPEMA FEDHA ZA BASARI.
Kamati ya elimu katika bunge la kaunti ya Pokot magharibi imetoa hakikisho kwa wanafunzi na wazazi katika kaunti hiyo kwamba fedha za basari zitatolewa kabla ya tarehe 19 mwezi januari […]
-
LOCHAKAPONG ASUTA AFISI YA REREC KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KWA KUKUBALI KUTUMIKA KISIASA.
Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter lochakapong sasa anataka afisi ya shirika la usambazaji umeme maeneo ya mashinani Rural Electrification and Renewable Energy Corporation (REREC) kufanyiwa uchunguzi kwa kile […]
Top News