News
-
Idara ya usalama Pokot Magharibi yaimarisha juhudi za kukabili uhalifu masokoni
Na Emmanuel Oyasi,Kamanda wa polisi kaunti ya Pokot magharibi Abdulahi Jire amewahakikishia wakazi wa kaunti hiyo kwamba usalama umeimarishwa hasa katika masoko na vituo vya biashara ili kuhakikisha visa vya […]
-
Makamishina wapya wa IEBC wakabiliwa na mtihani wa kwanza afisini
Na Emmanuel Oyasi,Makamishina wapya wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC wanakabiliwa alhamisi Desemba 27 na mtihani wao wa kwanza katika kusimamia shughuli ya uchaguzi nchini tangu walipoingia […]
-
Kanisa la ACK Pokot magharibi latafuta suluhu kwa migogoro ya uongozi
Na Benson Aswani,Kanisa la ACK dayosisi ya Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi linaendeleza mikakati ya kusuluhisha mizozo ambayo imekuwa ikishuhudiwa katika kanisa hilo kwa muda sasa hali ambayo imepelekea kuchipuka […]
-
Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom yajumuika na wakazi wa Pokot magharibi kusherehekea miaka 25
Na Benson AswaniKampuni ya mawasiliano nchini Safaricom inazuru maeneo mbali mbali ya kaunti ya Pokot magharibi kuungana na wananchi katika maadhimisho ya miaka 25 tangu kuzinduliwa hapa nchini. Akizungumza alipoongoza […]
-
Walimu wa JSS waendeleza shinikizo la kutaka kujisimamia
Na Benson Aswani,Walimu wa shule za sekondari msingi JSS wameendelea kushinikiza shule hizo kuondolewa chini ya usimamizi wa shule za msingi na badala yake kupewa uhuru wa kujisimamia. Wakiongozwa na […]
-
Wakazi Kacheliba walalamikia nafasi chache za usajili wa makurutu wa polisi
Na Emmanuel Oyasi,Wakazi wa eneo bunge la Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia nafasi chache ambazo eneo hilo lilitengewa katika zoezi la usajili wa makurutu wa polisi ambalo limefanyika jana. […]
-
Kaunti ya Turkana yamulikwa kwa kutosalimisha silaha haramu
Na Benson Aswani,Takriban silaha alfu moja zinazomilikiwa kinyume cha sheria kanda ya kaskazini mwa bonde la ufa zimesalimishwa kufikia sasa kutokana na agizo la serikali, kama njia moja ya kukabili […]
-
Wafanyikazi wa CICO Pokot Magharibi wagoma kulalamikia malipo duni
Na Benson Aswani,Wafanyikazi wa kampuni ya kutengeneza barabara ya CICO wanaohudumu kwenye barabara ya Kitale-Lodwar eneo la Murpus kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia kunyanyaswa na kampuni hiyo wakidai kukiukwa haki […]
-
Poghisio ataka kuimarishwa usalama mipakani, mitihani ya KCSE ikiendelea
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameendelea kutoa wito kwa wakazi wa maeneo ya mipakani pa kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana ambako kumeshuhudiwa […]
-
Uchimbaji madini watajwa kuwa chanzo cha utovu wa usalama mipakani pa Pokot Magharibi na Turkana
Na Benson Aswani,Baadhi ya viongozi wa kaunti ya Pokot magharibi sasa wanadai kwamba shughuli ya uchimbaji madini hasa maeneo ya mipakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya […]
Top News










