News
-
Gavana Kachapin amlaumu seneta Murgor kwa kusimamishwa fedha za basari
Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi Simon Kachapin, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kumlaumu seneta wa kaunti hiyo Julius Murgor kwa kile […]
-
Wakazi waonywa dhidi ya utapeli Konyao
Na Benson Aswani,Wakazi wa eneo la Konyao eneo bunge la Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi wametahadharishwa dhidi ya kutapeliwa na baadhi ya watu wanaozunguka wakidai kuwasajili ili wafidiwe […]
-
Uchimbaji haramu wa madini wazidi kuibua tumbojoto pokot magharibi
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi John Lonyangapuo, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia uchimbaji madini haramu ambao unaendelezwa na watu fulani. Wakizungumza […]
-
Lonyangapuo ajitetea dhidi ya matumizi mabaya ya afisi
Aliyekuwa gavana wa kuanti ya Pokot Magharibi John Longangapuo, Picha/Benson Aswan Na Benson Aswani,Aliyekuwa gavana wa kaunti ya pokot magharibi prof. John lonyangapuo amelalamikia matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, […]
-
Ripple effect yabadili desturi ya ufugaji hadi kilimo cha mimea Pokot magharibi
Mboga ya sukuma wiki katika shamba la mmoja wa wakulima, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Wakulima mbali mbali eneo la Kamito kaunti ya Pokot magharibi wamenufaika na mafunzo ya kilimo kutoka […]
-
Wakazi Siyoi wapunguziwa mahangaiko ya kutafuta maji
Mradi wa maji Siyoi, Picha/Benson Aswani Na Emmanuel Oyasi,Wakazi wa Siyoi kaunti ya Pokot magharibi wamepata afueni baada ya serikali ya kaunti kupitia wizara ya maji kuzindua mradi wa maji […]
-
TSC yaahidi kushughulikia uhaba wa walimu Pokot magharibi
Gavana wa kaunti ya pokot magharibi Simon Kachapin akikagua jengo la shule ya Siyoi, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amewahakikishia wakazi wa kaunti […]
-
Poghisio awasuta wanaopongeza mateso waliyopitia wanaharakati nchini Tanzania
Aliyekuwa seneta wa kaunti ya pokot magharibi Samwel Poghisio,Picha/Maktaba Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amewasuta vikali baadhi ya viongozi ambao wameonekana kupongeza hatua ya […]
-
Shule ya upili ya Tartar yafungwa ghafla kufuatia maandamano ya wanafunzi
Wanafunzi wa shule ya upili ya Tartar wakiwa nje ya afisi ya mkurugenzi wa elimu, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Shule ya upili ya Tartar kaunti ya Pokot magharibi imefungwa kwa […]
-
KVDA yasambaza miche kwa shule za bonde la Kerio
Mkurugenzi mkuu wa KVDA Sammy Naporos akishiriki zoezi la upanzi wa miche, Picha/Angela Cherono Na Emmanuel Oyasi,Mamlaka ya mandeleo eneo la Kerio Valley KVDA inapeana miche milioni moja na laki […]
Top News










