Author: Charles Adika
-
Kachapin aisuta idara ya elimu kwa kuendeleza ubaguzi
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amelalamikia kile amedai kuendelezwa ubaguzi katika idara ya elimu, kaunti zingine zikipendelewa kuliko kaunti hii ya Pokot magharibi. Akizungumza katika […]
-
Kachapin awasuta wanaokosoa utendakazi wake
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametetea utendakazi wa serikali yake kutokana na shutuma ambazo zinaibuliwa na baadhi ya viongozi kaunti hiyo kwamba hamna lolote ambalo […]
-
Wadau waelezea kuridhishwa na mwelekeo wa elimu Pokot Magharibi
Na Benson Aswani,Wadau wa elimu kaunti ya Pokot magharibi wameelezea kuridhishwa na idadi kubwa ya wazazi katika kaunti hiyo ambao wamekumbatia elimu kwa wanao ikilinganishwa na miaka ya awali. Wakiongozwa […]
Top News