Author: Charles Adika
-
Serikali ipo mbioni kudhibiti hasara inayosababishwa na radi
David Chepelion afisa mkuu katika idara ya majanga kaunti ya Pokot magharibi, Picha/Benson Aswan Na Benson Aswani,Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi chini ya gavana Simon Kachapin inaendeleza mikakati ya […]
-
Serikali yangu ni safi kama pamba; Kachapin
Simon Kachapin Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi, Picha/Benson Aswani Na Emmanuel Oyasi,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametetea vikali utendakazi wa serikali yake akisema kwamba imezingatia pakubwa […]
-
Deni la serikali ya kaunti lawanyima wakulima Pokot magharibi mbegu kutoka Kenya seed
Simon Kachapin Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi watalazimika kugharamika zaidi msimu huu wa upanzi baada ya serikali ya kaunti […]
-
Wadau wapiga mbio kukomesha dhuluma za jinsia pokot magharibi
Wanchama wa GVRC baada ya kikao cha wadau kuhusu dhuluma za kijinsia, Picha/Benson Aswani Benson AswaniKituo cha Gender Violence Recovery Centre (GVRC) chini ya hospitali ya Nairobi Women kiliandaa kikao jumanne na […]
Top News









