Author: Charles Adika
-
Shule ya Sangak yakabidhiwa wizara ya elimu, wakazi wakihimizwa kukumbatia elimu
Gavana Simon Kachapin akikagua madarasa kwenye shule ya Sangak, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Wakazi wa eneo la lami Nyeusi eneo bunge la Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuwapeleka […]
-
Hazina ya michezo inafaa kufadhili michezo pekee; Mvuria
Salim Mvuria waziri wa michezo na maswala ya vijana kenya, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Serikali imeanza kuchukua hatua za kulinda mfuko wa michezo, sanaa na maendeleo ya jamii wito ukitolewa wa […]
-
NG-CDF yaungwa mkono pakubwa shughuli ya kukusanya maoni ikiingia siku ya pili
Wakaazi wa sigor wakishiriki vikao vya maoni kuhusu NG-CDF, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Shughuli ya kutoa maoni kuhusu hazina ya ustawishaji maeneo bunge NG-CDF inaingia jumanne siku ya pili huku […]
-
Viongozi bonde la Kerio wakabana koo kuhusu utendakazi wa Murkomen
Samwel Moroto mbunge wa Kapenguria,Picha/Maktaba Emmanuel Oyasi,Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamemtetea waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Kipchumba murkomen dhidi […]
Top News










