Author: Charles Adika
-
Gavana Kachapin amlaumu seneta Murgor kwa kusimamishwa fedha za basari
Gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi Simon Kachapin, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kumlaumu seneta wa kaunti hiyo Julius Murgor kwa kile […]
-
Wakazi waonywa dhidi ya utapeli Konyao
Na Benson Aswani,Wakazi wa eneo la Konyao eneo bunge la Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi wametahadharishwa dhidi ya kutapeliwa na baadhi ya watu wanaozunguka wakidai kuwasajili ili wafidiwe […]
-
Uchimbaji haramu wa madini wazidi kuibua tumbojoto pokot magharibi
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot Magharibi John Lonyangapuo, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia uchimbaji madini haramu ambao unaendelezwa na watu fulani. Wakizungumza […]
Top News









