Author: Charles Adika
-
MOROTO ATANGAZA KUANGAZIA UHABA WA MADARASA KABLA KUJENGA MAABARA KATIKA SHULE ZA JUNIOR SECONDARY.
Mbunge wa kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi Samwel Moroto amesema kwamba atatoa kipau mbele kwa ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi ya Talau ili kutoa nafasi ya kutosha […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WASHUTUMU MBINU ZINATOTUMIKA KUKABILI UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin aliongoza viongozi katika kaunti hiyo kushutumu serikali kwa kile walidai kuihami jamii moja kwa silaha katika kukabili utovu wa usalama kwenye kaunti […]
-
-
KISA CHA KUPIGWA NG’OMBE RISASI NA POLISI KAINUK CHAZIDI KUKASHIFIWA.
Kisa cha kuuliwa ng’ombe zaidi ya 100 mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Turkana kitendo kinachodaiwa kutekelezwa na maafisa wa polisi kimeendelea kusutwa vikali na viongozi […]
-
VIJANA 7 KUTOKA POKOT MAGHARIBI WAZUILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI CHA LOKICHAR, TURKANA.
Viongozi wa kaunti ya Pokot magharibi wametoa wito wa kuachiliwa huru vijana saba ambao wanadaiwa kushikiliwa katika kituo cha polisi cha Lokichar katika kaunti ya Turkana baada ya kukamatwa eneo […]
Top News










