Author: Charles Adika
-
WAHISANI WAOMBWA KUWASAIDIA WAKAZI WANAOKABILIWA NA BAA LA NJAA POKOT MAGHARIBI.
Mbunge wa kacheliba kaunti ya Pokot magharibi Titus Lotee ametoa wito kwa wahisani wakiwemo mashirika yasiyo ya serikali kujitokeza na kuwasaidai wakazi wa kaunti hiyo ambao wanakabiliwa na baa la […]
-
VIONGOZI WASHINIKIZA KUBADILI MBINU ZINAZOTUMIKA KUKABILI WIZI WA MIFUGO BONDE LA KERIO.
Viongozi wa kaunti ya Pokot magharibi kwa ushirikiano na idara za usalama waliendeleza mikutano ya amani maeneo ya mipakani pa kaunti hiyo na kaunti jirani ambako kumekuwa kukishuhudiwa visa vya […]
-
MOROTO ATANGAZA KUANGAZIA UHABA WA MADARASA KABLA KUJENGA MAABARA KATIKA SHULE ZA JUNIOR SECONDARY.
Mbunge wa kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi Samwel Moroto amesema kwamba atatoa kipau mbele kwa ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi ya Talau ili kutoa nafasi ya kutosha […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WASHUTUMU MBINU ZINATOTUMIKA KUKABILI UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin aliongoza viongozi katika kaunti hiyo kushutumu serikali kwa kile walidai kuihami jamii moja kwa silaha katika kukabili utovu wa usalama kwenye kaunti […]
-
Top News








