Author: Charles Adika
-
WALIMU WAONYWA DHIDI YA KUWASAJILI WANAFUNZI WA GREDI YA SITA KUFANYA MTIHANI WA DARASA LA NANE KCPE.
Idara ya elimu eneo la Pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi imewaonya vikali wazazi na walimu wakuu wa shule mbali mbali dhidi ya kuwasajili wanafunzi waliofanya mtihani wa gredi […]
-
OPARESHENI YA KIUSALAMA YAANZA RASMI BONDE LA KERIO HUKU IDARA ZA USALAMA ZIKICHUKUA TAHADHARI KUZUIA WAHALIFU KUKIMBILIA MAENEO MENGINE.
Idara ya usalama eneo la pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi iko imara kuhakikisha kwamba hamna mkazi yeyote kutoka maeneo ambako kunaendeshwa oparesheni ya kiusalama atatorokea eneo hilo.Naibu kamishina […]
-
WAKAZI WA JAMII YA POKOT WATOA WITO KWA SERIKALI YA UGANDA KUWAHAKIKISHIA USALAMA KARITA.
Wakazi wa eneo la Karita mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda wametoa wito kwa serikali ya rais Yoweri Museven kuzidisha juhudi za kuhakikisha amani inadumishwa […]
-
WADAU WAENDELEZA MIKAKATI YA KUKABILI ATHARI ZA UKAME POKOT MAGHARIBI.
Maeneo ya pokot ya kati na pokot kaskazini katika kaunti hii ya Pokot magharibi ndiyo yaliyoathirika zaidi na hali ya ukame ambayo imeendelea kushuhudiwa nchini.Haya yalibainika katika kikao cha wadau […]
-
IDARA YA TRAFIKI POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MIKAKATI YA KULETA NIDHAMU KATIKA SEKTA YA BODA BODA.
Wahudumu wa boda boda mjini Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuzingatia kikamilifu sheria za barabarani ili kuhakikisha kwamba nidhamu inadumishwa na kuzuia ajali za mara kwa mara.Akizungumza wakati […]
Top News









