Author: Charles Adika
-
SERIKALI YAPANGA KUCHIMBA VISIMA KUKABILI ATHARI ZA UKAME POKOT MAGHARIBI.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi ina mipango ya kuchimba visima katika kila wadi ambazo zimeathirika pakubwa na ukosefu wa maji kufuatia ukame ambao unashuhudiwa maeneo mbali mbali ya nchi. […]
-
IDARA MBALI MBALI ZA SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI ZAWASILISHA RIPOTI ZA MAONI KUHUSU MAANDALIZI YA BAJETI.
Waakilishi wadi katika kaunti ya Pokot magharibi wamewahakikishia wananchi kwamba watafuatilia kwa karibu kuhakikisha kwamba maoni yaliyotolewa kuhusu utekelezwaji wa bajeti yanatekelezwa kikamilifu. Akizungumza wakati wa vikao vya kuangazia ripoti […]
-
BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA YARIPOTIWA KUKITHIRI KACHELIBA WAATHIRIWA WAKUU WAKIWA VIJANA.
Wakazi eneo la Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia kukithiri utumizi wa dawa za kulevya miongoni mwa vijana hali ambayo inatishia usalama wa eneo hilo. Wakiongozwa na mwenyekiti wa […]
-
SERIKALI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA MASHIRIKA YASIYO YA SERIKALI KUIMARISHA MAISHA YA WAKAZI POKOT MAGHARIBI.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi itatenga fedha zaidi katika kipindi cha fedha kijacho ili kuimarisha shughuli za makundi mbali mbali ya wafanyibiashara wa viwango vya chini hasa maeneo ya […]
Top News








