Author: Charles Adika
-
Viongozi wa Kenya kwanza kaskazini mwa bonde la ufa watetea utawala wa rais Ruto
Na Benson Aswani,Wandani wa rais William Ruto kutoka kaskazini mwa bonde la ufa wamepuuzilia mbali miito ambayo inatolewa ya kumtaka rais Ruto kuondoka mamlakani kwa madai ya kushindwa kuliendesha taifa, […]
-
Komole awashutumu viongozi kwa kuendeleza siasa za mapema Pokot Magharibi
Na Benson Aswani,Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole ameshutumu siasa za mapema ambazo zinaendelezwa na viongozi wa kisiasa katika kaunti hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Katika […]
-
Yanga ndio mabingwa wa ligi kuu nchini Tanzania wa mwaka 2024/2025
NA PRESENTER WAKOLI Ligi kuu ya Tanzania bara msimu wa 2024/25 imehitimishwa kwa namna isiyo ya kawaida. Yanga SC, klabu yenye historia kubwa na ushawishi mpana katika soka la Tanzania, […]
-
NEMA yatetea marufuku ya uchimbaji madini Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Mamlaka ya mazingira nchini NEMA imetetea hatua ya kusitishwa rasmi shughuli ya uchimbaji madini maeneo mbali mbali ya kaunti ya Pokot magharibi. Katika mahojiano na kituo hiki, mkurugenzi […]
Top News