Author: Charles Adika
-
Serikali ya kaunti yatoa hundi ya shilingi milioni 19 kwa makundi ya wakulima Karas
Na Benson Aswani,Makundi 19 ya wakulima eneo la Karas kaunti ya Pokot magharibi yamenufaika na shilingi milioni 19 kutoka kwa serikali ya kaunti kama ufadhili wa kuyawezesha kuendeleza shughuli zao […]
-
Kachapin apongeza juhudi za viongozi waliopigania ugatuzi
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amepongeza mashujaa anaosema walipigania ukombozi wa pili wa taifa, hali iliyopelekea kuwepo serikali za magatuzi ambazo zimeleta manufaa makubwa kwa […]
-
Wadau waendeleza mikakati ya kuimarisha kilimo Pokot Magharibi
Na Emmanuel Wakoli,Wadau mbali mbali katika kaunti ya Pokot magharibi wanaendeleza ushirikiano kwa pamoja na idara ya kilimo kaunti hiyo ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi kwenye […]
Top News









