Author: Charles Adika
-
Viongozi watakiwa kujitenga na siasa na kuwahudumia wananchi
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametoa wito kwa viongozi kushirikiana katika kuhakikisha kwamba wakazi wa kaunti hii wanapokea huduma bora. Akizungumza katika hafla moja mjini […]
-
Viongozi Pokot magharibi walaani kuchipuka tena utovu wa usalama mpakani pa Pokot na Turkana
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya pokot magharibi simon kachapin amelaani mauaji ya watu watatu waliopigwa risasi katika kijiji cha Loperumoi, Morita–Rumos, mpakani pa kaunti hiyo na ile ya Turkana. […]
-
Owalo aongoza ukaguzi wa mradi wa maji wa Muruny Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Mradi wa maji wa Muruny kaunti ya Pokot magharibi utawafaidi zaidi ya watu alfu 350 punde utakapokamilika. Akizungumza baada ya kuongoza ukaguzi wa mradi huo, naibu mkuu wa […]
Top News









