Author: Charles Adika
-
Wakazi wa kambi karayi waonywa dhidi ya kukaribia machimbo ya dhahabu yaliyotelekezwa
Na Emmanuel Oyasi,Wakazi eneo la Kambi Karayi na maeneo mengine ya kuchimba madini kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kutoendeleza shughuli ya uchumbaji madini katika machimbo ambayo yametelekezwa. Akizungumza ijumaa siku […]
-
Chanjo ya HPV yazinduliwa wazazi wakihimizwa kuhakikisha wanao wanapewa chanjo hiyo
Na Benson Aswani,Kundi la wake wa magavana nchini limetoa wito kwa wananchi kukumbatia chanjo ya kuzuia saratani ya kizazi HPV ambayo imezinduliwa rasmi na kundi hilo la wake wa magavana […]
-
Maonyesho ya kilimo Pokot Magharibi yafunguliwa rasmi
Na Emmanuel Oyasi,Maonyesho ya kilimo katika kaunti ya Pokot magharibi yameanza rasmi wito, ukitolewa kwa wakazi wa kaunti hiyo kujitokeza na kuhudhuria maonyesho hayo ambayo yanaandaliwa katika uwanja wa maonyesho […]
Top News








