WAHUDUMU WA AFYA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI WAPOKEA CHANJO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA


Wahudumu wa afya kwenye kaunti hii ya Pokot Magharibi leo hii wamepokea kupokea chanjo ya virusi vya corona.
Waziri wa afya kaunti hii Jackson Yaralima na maafisa wengine serikalini wamekuwa wa kwanza kupokea chanjo hiyo ambayo inaendelea maeneo mbalimbali ya nchi.
Hiyo jana Yaralima alisema kuwa tayari wamepokea dozi elfu 6 ya hiyo.