VIONGOZI WATAKA MIRADI ILIYOANZISHWA KAUNTI YA TRANSNZOIA KUKAMILISHWA

Mwaniaji wa usenata katiaka kaunti ya transzoia henry ole ndiema amesema miradi mikuu iliyoanzishwa muhula wa kwanza wa gavana Patrick khaemba vilevile akihudumu kwenye wadhifa huo wa usenata sharti ikamilishwe,
Miradi hiyo ni ujenzi wa hospitali ya rufaa ambayo tayari zaidi ya shilling billioni 1.4 zimetumika,kufanikisha ujenzi wa uwanja wa Kenyatta mjini kitale soko jipya na kutengwa kwa Hazina ya kupunguza gharama ya mbolea na pembejeo nyinginezo shambani.
Ndiema amesema ni jambo la kusikitisha kwamba wakaaazi wa kaunti hiyo bado wanaangaika kutafuta huduma za matibabu, katika hospitali ya rufaa ya eldoret katika kaunti ya uasingishu