VIONGOZI KAUNTI YA TRANSNZOIA WAMETAKA KUHAKIKISHIWA USALAMA WAO

Wawaniaji Viti wanaogemea Mrengo wa Odm Trans nzoia wametaka kuhakikishiwa usalama wao wanapoendeleza kampeini za uchaguzi hapo mwakani.
Wakiongozwa na Dorothy Alioba pamoja na Naomi Okul,wawaniaji hao wanadai kunyimwa usalama licha ya kuwania viti sawia na wenzao wa kiume wanaopewa usalama.
Kauli yao imetiwa Uzito na Vijana wa chama hicho wajiongozwa na brian mutaka wanaotaka pia Chama hicho kuwahakikishia Teuzi za haki na usawa.