UNYAKUZI WA ARDHI TRANSNZOIA


Wakazi wa kijiji cha maridadi kwenye kaunti ya Transnzoia wameiomba serikali kurejesha ardhi yenye ekari 20 wanayodai imenyakuliwa na bwenyenye mmoja katika kaunti hiyo. Wakazi hao wakiongozwa na Nabibia Richmond wamesema kwamba imekuwa vigumu kwa wenyeji hasa akinamama wajawazito, watoto na wakongwe kupata matibabu katika zahanati ya Maridadi na kulazimika kusafiri zaidi ya kilimita 10 ili kutibiwa kwingine.
Insert maridadi
Ewase Namasafi ni naibu chifu wa eneo hilo..
Insert ewase
ripoti ya serikali imebainisha kwamba zaidi asilimia sabinina tano ya shule za umma katika kaunti hiyo ya Tranzoia hazina hati miliki kutokana na tatizo la unyakuzi wa ardhi. Hali kadhalika katika kaunti hiyo zaidi ya ardhi yenye ekari elfu mbili za umaa ikiwemo ile ya agricultural machinery, ya shirika la reli , ya shule ya upili ya Milimani vilevile ya idara ya magereza zimenyakuliwa.