UKOSEFU WA SERKALI KUTOA VISODO WALEMAZA MASOMO TRANSNZOIA

Ukosefu wa serikali kutoa sodo kwa wanafunzi wa kike kwa wakati imetajwa kama chagamoto wengi wa wathiriwa wakikosa masomo hali inauolemaza usawa baina ya wavulana na wasichana.
Kwa mujibu wa viongozi wa kike wakiongozwa na Gladys mulati ni kuwa hali hio imepelekea wengi wa wasichana kukosa masomo yao wakati wa hedhi hii ikipelekea kudorora kwa masomo.
Baadhi ya wathiriwa wameelezea kulazimika kusaka njia badala kupata bidha hizo muhimu hii ikiwaweka kwenye hatari ya kupata mimba za mapema