Tag: @west pokot county
-
Poghisio ashutumu mauaji ya watoto katika kaunti ya Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameshutumu vikali visa vya kupotea watoto na kupatikana wakiwa wameuawa, ambavyo vimeripotiwa kutekelezwa na raia kutoka taifa jirani la […]
-
Raia kutoka mataifa ya kigeni wanaoishi Pokot Magharibi kukaguliwa upya
Na Benson Aswani,Kamati ya usalama kaunti ya Pokot magharibi imeagiza raia kutoka mataifa ya kigeni ambao wanaishi katika kaunti hiyo kukaguliwa upya ili kuthibitisha uhalali wa vyeti vinavyowaruhusu kuendeleza shughuli […]
-
Msako wa raia wa kigeni wanaoishi Pokot magharibi bila Kibali waanzishwa
Na Emmanuel Oyasi,Serikali imetangaza msako wa raia wa mataifa ya kigeni ambao wanaishi katika kaunti ya Pokot magharibi bila stakabadhi zinazowaruhusu kuwa hapa nchini. Akizungumza kwa niaba ya kamishina, msaidizi […]
-
Mabadiliko ya tabia nchi yapelekea vipindi visivyotabirika vya mvua
Wilson Lonyang’ole Mkurugenzi wa idara ya utabiri wa hali ya anga kaunti ya pokot magharibi, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Maeneo mengi ya kaunti ya Pokot magharibi hasa nyanda za chini […]
-
Ni sisi wenyewe tunaolemaza soka ya humu nchini; Kachapin
Simon Kachapin Gavana wa kaunti ya pokot magharibi, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Mwenyekiti wa kamati ya michezo katika baraza la magavana Simon Kachapin amesema mchezo wa kandanda hapa nchini haujafikia viwango […]
-
Serikali ipo mbioni kudhibiti hasara inayosababishwa na radi
David Chepelion afisa mkuu katika idara ya majanga kaunti ya Pokot magharibi, Picha/Benson Aswan Na Benson Aswani,Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi chini ya gavana Simon Kachapin inaendeleza mikakati ya […]
Top News