Tag: @security
-
Mhudumu wa afya amlawiti mgonjwa Murpus
Na Benson Aswani,Mhudumu mmoja wa afya mwenye umri wa miaka 55 eneo la Murpus kaunti ya Pokot magharibi anazuiliwa na maafisa wa polisi kwa madai ya kumlawiti kijana mmoja, mwanafunzi […]
-
Vita dhidi ya ujangili vyashika kasi Pokot Magharibi
Na Benson Aswani,Kamishina wa kaunti ya Pokot magharibi Khalif Abdulahi ameendeleza wito kwa wakazi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzirejesha kabla ya kukamilika makataa ya mwezi mmoja yaliyotolewa na waziri […]
-
Wamiliki wa silaha kinyume cha sheria Pokot na Turkana wapewa makataa ya siku 7 kuzisalimisha
Na Benson Aswani,Kamishina wa kaunti ya Pokot magharibi Khalif Abdulahi amewataka wakazi ambao wanamiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha katika kipindi cha siku saba zijazo. Akizungumza baada ya kikao cha […]
-
Wahalifu warejelea shughuli zao Songok
Na Benson Aswani,Chifu wa eneo la Songok mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Turkana Joseph Korkimul amesikitikia kuchipuka tena visa vya utovu wa usalama mpakani pa […]
-
Msako dhidi ya pombe haramu waendelezwa eneo bunge la Kapenguria
Na Benson Aswani,Idara ya polisi eneo bunge la Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi kwa ushirikiano na machifu wanaedeleza msako dhidi ya ugemaji wa pombe haramu katika juhudi za kukabili biashara […]
-
Mashirika ya jamii yapongezwa kwa kuchangia kupungua ukeketaji pokot magharibi
Na Emmanuel Oyasi,Msaidizi wa kamishina eneo la Chesogon kaunti ya Pokot magharibi Peter Njuguna amepongeza mikakati ambayo imewekwa na serikali kwa ushirikiano na mashirika mbali mbali ya kijamii ambayo imepelekea […]
-
Ushirikiano kati ya kamishina na serikali ya kaunti ya Pokot magharibi watajwa kuwa chanzo cha kupungua uhalifu
Na Benson Aswani,Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole ametaja ushirikiano baina ya kamishina wa kaunti hiyo Abdulahi Khalif na uongozi wa gavana Simon Kachapin kuwa ndio umechangia kupungua […]
-
Murkomen atoa hakikisho la kukabili ‘wala watu’ Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Kipchumba Murkomen amewahakikishia wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi kwamba serikali itakabiliana kikamilifu na swala la watoto kutekwa nyara […]
-
Poghisio ashutumu mauaji ya watoto katika kaunti ya Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameshutumu vikali visa vya kupotea watoto na kupatikana wakiwa wameuawa, ambavyo vimeripotiwa kutekelezwa na raia kutoka taifa jirani la […]
-
Raia kutoka mataifa ya kigeni wanaoishi Pokot Magharibi kukaguliwa upya
Na Benson Aswani,Kamati ya usalama kaunti ya Pokot magharibi imeagiza raia kutoka mataifa ya kigeni ambao wanaishi katika kaunti hiyo kukaguliwa upya ili kuthibitisha uhalali wa vyeti vinavyowaruhusu kuendeleza shughuli […]
Top News