SERIKALI YA KAUNTI YA UASIN GISHU IMEZINDUA AWAMU YA NNE YA MBIO ZA ELDORET MARATHON


Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago amezindua awamu ya nne yam bio za Eldoret Marathon mapema leo.
Akizungumza na wanahabari mjini Eldoret, gavana Mandago amesma kuwa hatua hiyo ni mojawapo ya mikakati aliyoweka ili kuwapa wanariadha nafasi ya kung’ara katika sehemu hiyo.
Mongoni mwa wafadhili wakuu wa mbio hizo ambaye ni afisa mkuu wa kampuni ya standard PLC Olando Olomo amesema kuwa wataendelea kushirikiana na seriklai za kaunti zingine kufanikisha miradi mbali mbali.