MBUNGE WA KIMININI CHRIS WAMALWA APONGEZA RIPOTI YA BBI


Mbunge Wa Kiminini Katika Kaunty Ya Transnzoia Dkt ChrisWamalwa Ni Miongoni Mwa Viongozi Wa Hivi Punde Zaidi Kupongeza Mabadilikjo Yaliofanyiwa Ripoti Ya Mwisho Ya Bbi Akisema Imeboreshwa Kwa Asilimia Kubwa Baada Kuyajumuisha Mapendekezo Ya Makundi Mbalimbali Likiwamo Kanisa Hivyo Wakenya Sasa Wanabudi Sasa Kujisomea Na Kufanya Uamuzi Na Vilevile Kusaini
Akihutubu Katika Kanisa La Kiangilikana La St.Luke Wamalwa Amesema Kwamba Kuenda Mbele Taifa Linafaa Kukuza Mjadala Wa Kitaifa Kabla Ya Kuafikia Uamuzi Wa Maswala Yeyote Ya Kitaifa
Ameridhishwa Na Pendekezo La Kuongeza Mgao Wa Fedha Kwa Serkali Za Kaunty