MBUNGE ATOA WITO KWA WAKAZI KUWAREJESHA SHULENI WANAFUZI WA KIKE WALIOPACHIKWA MIMBA

BUNGOMA


Mbuge wa kike katika kaunti ya bungoma Catharine Wambilianga ameiomba jamii za eneo hilo kuwarejesha shuleni wanafunzi kwa kike ambao wamepachikwa mimba hasa msimu huu wa janga la corona shule zinapofunguliwa rasmi hii leo
Wambilianga amesema kaunti ya bungoma imeripoti zaidi ya visa 6000 vya mimba za mapema tangu kufungwa kwa shule mwezi machi mwaka uliopita baada ya kuripotiwa kwa janga la corona nchini humu.