IEBC YAANZA SHUGHULI YA KUKAGUA STAKABADHI ZA WAGOMBEA KITI CHA UWAKILISHI WADI YA HURUMA KWENYE KAUNTI YA UASIN GISHU


Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imezingua shughuli ya kukagua stakabadhi za wagombea kiti cha uwakilishi wadi ya huruma kwenye kaunti ya Uasin Gishu.
Afisa wa IEBC ambaye anayesimamia shughuli hiyo ya siku mbili Peris Maiyo mesema kuwa tayari wagombea 17 wamejitokeza kuwania kiti hicho.
Maiyo amesema kuwa shughuli hiyo hata hivyo itazingatia masharti yote yaliyowekwa na wizara ya afya ili kudhibiti msambao wa virusi vya corona.