HALI DUNI YA SHULE YA SINOKO BAHATI


Wazazi katika shule ya Sinoko Bahati eneo la Cherangany katika kaunti Transzoia wametishia kutumia vyumba vyao kama madarasa hii ni baada ya shule hiyo kukukosa madarasa na yaliyomo yakiwa katika hali mbaya.
Kaimu mwalimu mkuu wa shule hiyo Stella Kiplagat amesema madarasa saba ya shule hiyo hayawezi kutumika kwani yako katika hali mbaya na kuwalazimu baadhi ya wanafunzi kutumia jengo la kanisa kupokea masomo yao shuleni humo.
Insrt stella
Kauli yake imetiwa uzito na walimu wenzake wanaolalamikia ukosefu wa vyoo na kupelekea wanafunzi kupatwa na funza hali ambyo imeathiri viwango vya masomo shuleni humo.