News
-
Tunapasa kubadilisha dhana ya kutegemea ufugaji kupitia elimu; Mastaluk
Richard Mastaluk Mwakilishi wadi ya Kapenguria, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kuwahimiza wazazi kukumbatia elimu ya wanao kwa manufaa ya maisha yao […]
-
Wazazi wahimizwa kuwekeza katika elimu ya wanao
Kina mama katika kaunti ya Pokot magharibi,Picha/Benson Aswani Na Emmanuel Oyasi,Kina mama katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa msitari wa mbele kukumbatia elimu kwa ajili ya wanao hasa wa […]
-
Poghisio aitaka serikali kukoma mtindo wa ukopaji
Samwel Pogihisio aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi, Picha/Maktaba Na Benson AswaniMiito imeendelea kutolewa kwa uongozi wa serikali ya kenya kwanza chini ya rais William Ruto kupunguza madeni ambayo […]
-
Tukome kuzungumzia mabaya ya serikali, tuangazie mema; Lotee
Titus Lotee Mbunge wa Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi, Picha/Benson Aswani Na Emmanuel Oyasi,Wandani wa rais William Ruto katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kumtetea kutokana na utendakazi wake tangu […]
-
Jamii ya Sengwer yataka kuzingatiwa katika nyadhifa za ajira
Wazee wa Jamii ya Sengwer katika kaunti ya Pokot magharibi,Picha/Maktaba Na Benson Aswani,Jamii ya Sengwer katika kaunti ya Pokot magharibi imeitaka serikali kuitengea nyadhifa za kazi wakati wa zoezi la […]
-
Mwanamme amkatakata mwenzake wakizozania mwanamke
Na Benson Aswani,Polisi makutano kaunti ya Pokot magharibi wameanzisha uchunguzi kuhusiana na kisa ambapo mwanamme mmoja mwenye umri wa makamu anadaiwa kukatwakatwa kwa upanga hadi kufa kutokana na kile kinachodaiwa […]
-
Poghisio alalamikia kutengwa jamii ya Pokot katika teuzi serikalini
Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio, Picha/Benson Aswani Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameendeleza shutuma zake kwa serikali ya Kenya kwanza […]
-
Athari za ajali ya ndege Kaben zadhihirika mwaka mmoja baadaye
Aliyekuwa mkuu wa majeshi nchini jenerali Francis Ogolla, Picha/Maktaba Na Benson AswaniMwaka mmoja tangu kuanguka ndege iliyomuua aliyekuwa mkuu wa majeshi nchini jenerali Francis Ogolla, wakazi wa kijiji cha Kaben […]
-
Huenda ODM ikajiondoa Azimio kuelekea uchaguzi wa 2027; Poghisio
Samwel Poghisio aliyekuwa seneta wa kaunti ya pokot Magharibi ,Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Kuna uwezekano mkubwa wa chama cha ODM kuunda muungano mmoja na serikali ya Kenya kwanza kuelekea uchaguzi mkuu […]
-
Ajali ya ndege iliyomwangamiza Ogolla ilipangwa; Kalonzo
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka akiwahutubia wanahabari, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Viongozi wa mrengo wa upinzani wameendelea kutilia shaka ripoti ya uchunguzi wa kiini cha ajali ya ndege iliyomwangamiza mkuu wa […]
Top News