News
-
Ukosefu wa sheria za misitu ndicho chanzo cha uharibifu wa mazingira
Msitu wa Kamatira Kaunti Ya Pokot Magharibi,Picha/Maktaba Na Benson Aswani,Idara ya mazingira na mali asili katika kaunti ya Pokot magharibi imetaja ukosefu wa sheria za kulinda mazingira dhidi ya uharibifu […]
-
6 wakamatwa Tambalal, Pokot magharibi kufuatia mzozo wa ardhi
Gari la Polisi Likisafirisha Watu waliokamatwa Tambalal Kamatira,Picha/Benson Aswani Na Emmanuel Oyasi,Taharuki imetanda katika kijiji cha Tambalal eneo la Kamatira, Kaunti Ndogo ya Kipkomo katika Kaunti ya Pokot Magharibi baada […]
-
Wazee walalamikia kucheleweshwa mgao wao
Baraza la wazee katika kaunti ya Pokot Magharibi,Picha/Maktaba Na Benson Aswani,Baraza la wazee katika kaunti ya pokot magharibi wamelalamikia kucheleweshwa fedha ambazo zinatolewa kwa ajili ya wazee. Wakiongozwa na mwenyekiti […]
-
Mkutano wa kuangazia changamoto za jamii ya wafugaji waandaliwa Moroto Uganda
Ujumbe wa Ushirikiano Kati Ya Kaunti Za Pokot Magharibi ,Turkana na Taifa Jirani la Uganda ,Picha /Benson Aswani Na Emmanuel Oyasi,Mkutano wa kuhimiza ushirikiano kati ya kaunti za Pokot magharibi […]
-
Mahakama ya Kapenguria yazindua kitengo cha upatanishi
Hakimu Wa Mahama Ya Kapenguria Stelah Telewa {kulia} Akifungua Afisi ya Kitengo cha Upatanishi ,Picha/Benson Aswan Na Benson Aswani,Mahakama kuu ya Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi imezindua rasmi kitengo cha […]
-
Ubalozi wa Ireland wazuru pokot magharibi kukagua miradi ya maendeleo
Neale Richmond- Balozi wa Ireland Nchini Kenya,Picha/Benson Aswan Na Emmanuel Oyasi,Ujumbe kutoka ubalozi wa Ireland nchini Kenya umezuru jumatano kaunti ya Pokot magharibi na kukagua miradi mbali mbali ambayo inaendelezwa […]
-
Kachapin atofautiana na wanaopinga mwafaka baina ya Ruto na Raila
Simon Kachapin-Gavana Wa Kaunti Ya Pokot Magharibi,Picha/Benson Aswan Na Emmanuel Oyasi,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameunga mkono ushirikiano kati ya rais William Ruto na kinara wa chama […]
-
Hatutaruhusu ukeketaji kuharibu kizazi kijacho, Kiprop
Vifaa Vinavyotumika Kwa Ukeketaji,Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Miito imeendelea kutolewa kwa wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi kuwalea vyema wanao na kuhakikisha kwamba wanapata haki zao za kimsingi badala ya kuwalazimishia […]
-
Viongozi bonde la kerio washinikiza kuongezwa idadi ya NPR
Titus Lotee – Mbunge wa Kacheliba, Picha/lochele Na Benson Aswan, Mbunge wa Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi Titus Lotee amesema pana haja ya serikali kufanikisha mipango itakayohakikisha maeneo ya kiutawala […]
-
Wakazi bonde la Kerio watakiwa kuwatambua wahalifu miongoni mwao
Na Benson Aswani,Waziri wa usalama wa ndani kipchumba murkomen amewahimiza viongozi pamoja na wananchi kaskazini mwa bonde la ufa kushirikiana na vitengo vya usalama kama njia moja ya kumaliza uhalifu […]
Top News