News
-
KIMACHAS: TUTAFANYA KILA JUHUDI KUHAKIKISHA MTAALA WA CBC UNAFAULU.
Serikali inaendelea kuweka mikakati ya kutosha kuhakikisha kwamba mtaala mpya wa elimu CBC unafanikiwa. Akizungumza afisini mwake Mkurugenzi wa tume ya huduma kwa walimu TSC kaunti ya Pokot magharibi Benard […]
-
VIONGOZI WATAJA MBINU MBOVU ZINAZOTUMIKA KUKABILI UTOVU WA USALAMA KASKAZINI MWA BONDE LA UFA KUWA CHANZO CHA KUKITHIRI TATIZO HILO.
Serikali inapasa kuhakikisha kwamba miradi ya maendeleo inaanzishwa katika kaunti za kaskazini mwa bonde la ufa ambazo zinakabiliwa na utovu wa usalama unaosababishwa pakubwa na wezi wa mifugo. Haya ni […]
-
KACHAPIN: NITAHAKIKISHA VIWANDA VYOTE VINAVYOJENGWA KAUNTI HII VINAFUNGULIWA MWAKA HUU.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi simon Kachapin amewahakikishia wakazi wa kaunti hii kwamba atahakikisha viwanda vyote ambavyo vinajengwa ikiwemo kile cha saruji eneo la Sebit pamoja na cha bidhaa […]
-
WAKAZI POKOT MAGARIBI WAKANYWA DHIDI YA KUWAZIA KUJIUNGA NA MAANDAMANO YA AZIMIO.
Mbunge wa Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi Samwel Moroto amewataka wakazi wa kaunti hiyo kutojihusisha na maandamano ambayo yanaendelezwa maeneo mbali mbali ya nchi na vinara wa chama cha muungano […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAAHIDI KUIMARISHA MIUNDO MSINGI KATIKA SHULE ZOTE ZA MSINGI NA UPILI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amesema kwamba serikali yake imetenga shilingi milioni 20 zitakazotumika kwa ajili ya ujenzi wa miundo msingi kwenye shule za msingi na upili. […]
-
MASHAMBULIZI YA WEZI WA MIFUGO YASALIA MWIBA BONDE LA KERIO LICHA YA OPARESHENI YA POLISI.
Mbunge wa Baringo kusini Charles Kamuren anaitaka serikali kuimarisha mikakati yake ya kukabiliana na washukiwa wa wizi wa mifugo wanaoendeleza uvamizi kila mara kwenye kaunti za bonde la kerio. Kulingana […]
-
MAANDAMANO YA MRENGO WA AZIMIO YATAJWA KUWA UCHOCHEZI DHIDI YA SERIKALI YA RAIS RUTO.
Viongozi mbali mbali wanaoegemea mrengo wa Kenya kwanza wameendelea kukosoa maswala ambayo yanashinikizwa na kinara wa chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga na vinara wenza […]
-
MADEREVA WASHUTUMU KAZI DUNI ILIYOTEKELEZWA KWENYE BARABARA YA KAPENGURIA –KACHELIBA.
Wahudumu wa magari kwenye barabara ya Kapenguria –Kacheliba hasa kutoka eneo la Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi wameshutumu kile wamesema kwamba kazi duni iliyofanywa na mwanakandarasi aliyejenga barabara hiyo. Wakiongozwa […]
-
FAMILIA MOJA KACHELIBA NUSRA ITUMIE MBOLEA KAMA CHAKULA KUFUATIA MAKALI YA NJAA.
Serikali ikiendelea kupeana mbolea ya bei nafuu kwa wakulima maeneo mbali mbali ya nchi, familia moja eneo la Riwo eneo bunge la kacheliba kaunti ya Pokot magharibi nusra ile mbolea […]
-
MASHIRIKA YASIYO YA SERIKALI YAOMBWA KUWASAIDIA WAATHIRIWA WA MAFURIKO ORTUM.
Mbunge wa Pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi David Pkosing ametoa wito kwa mashirika mbali mbali yasiyo ya serikali kuingilia kati na kuwasaidia wakazi ambao walipoteza mali yao kufuatia […]
Top News










