News
-
Serikali ya Pokot Magharibi yawekeza pakubwa katika sekta ya afya
Na Benson Aswani,Zaidi ya asilimia 30 ya bajeti ya serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imeelekezwa kwenye idara ya afya kuhakikisha kwamba kuna dawa za kutosha katika hospitali na vituo […]
-
Wakazi wahimizwa kukumbatia uhifadhi wa mazingira
Na Emmanuel Oyasi,Wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi wamehimizwa kuhifadhi mazingira na kujizuia kukata miti kiholela ili kukabili changamoto ambazo zinatokana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza wakati wa uzinduzi […]
-
Mwili wa mtoto wapatikana umeoza shambani Bendera
Na Benson Aswani,Idara ya upelelezi DCI imeanzisha uchunguzi baada ya mwili wa mtoto mwenye umri wa miaka saba kupatikana kwenye shamba la mahindi ukiwa umeanza kuoza katika eneo la Bendera […]
-
Viongozi wa Kenya kwanza kaskazini mwa bonde la ufa watetea utawala wa rais Ruto
Na Benson Aswani,Wandani wa rais William Ruto kutoka kaskazini mwa bonde la ufa wamepuuzilia mbali miito ambayo inatolewa ya kumtaka rais Ruto kuondoka mamlakani kwa madai ya kushindwa kuliendesha taifa, […]
-
Komole awashutumu viongozi kwa kuendeleza siasa za mapema Pokot Magharibi
Na Benson Aswani,Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole ameshutumu siasa za mapema ambazo zinaendelezwa na viongozi wa kisiasa katika kaunti hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Katika […]
-
NEMA yatetea marufuku ya uchimbaji madini Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Mamlaka ya mazingira nchini NEMA imetetea hatua ya kusitishwa rasmi shughuli ya uchimbaji madini maeneo mbali mbali ya kaunti ya Pokot magharibi. Katika mahojiano na kituo hiki, mkurugenzi […]
-
Serikali ya Pokot Magharibi yawahakikishia wakazi uzinduzi wa basari mwezi Julai
Na Benson Aswani,Baada ya wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi kusubiri kwa muda fedha za basari kutoka kwa serikali ya kaunti, naibu gavana Robert Komole hatimaye amewahakikishia wakazi kwamba serikali […]
-
Serikali ya Pokot Magharibi yakabidhiwa vifaa vya kuwasaidia walemavu
Na Benson Aswani,Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imepokea msaada wa vifaa vya kuwasaidia watu wanaoishi na ulemavu kutoka kwa shirika la Hope Mobility Kenya, ambavyo inatarajiwa kuvisambaza maeneo mbali […]
-
Wadau wa elimu waelezea wasiwasi kuhusu hatima ya watoto kielimu pokot ya kati
Na Benson Aswani,Eneo la Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi linakabiliwa na changamoto tele katika sekta ya elimu ambazo zinafanya idadi kubwa ya watoto kukosa elimu. Akizungumza katika hafla ya […]
-
Viongozi wa kenya kwanza watetea michango wanayoendeleza maeneo mbali mbali ya nchi
Na Emmanuel Oyasi,Viongozi wa kaunti ya Pokot magharibi wanaoegemea mrengo wa rais William Ruto wamepongeza mtindo ambao umekumbatiwa na viongozi nchini wa kuendeleza michango ya kuyawezesha makundi ya akina mama […]
Top News