News
-
Kachapin atakiwa kuangazia lalama za wanafunzi kuhusu basari
Na Emmanuel Oyasi,Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto ametoa wito kwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin kuangazia lalama ambazo zinatolewa na baadhi ya wanafunzi wa shule za upili […]
-
Mpango wa ‘Ondoa Nyasi’ pokot magharibi washika kasi
Na Benson Aswani,Mpango unaondelezwa na gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin kuwajengea wakazi nyumba za mabati maarufu ondoa nyasi ni wenye manufaa makubwa hasa ikizingatiwa nyasi ambazo zinatumika […]
-
Agizo la kuwapiga risasi miguuni wanaovuruga amani kwenye maandamano lazidi kukeketa
Na Benson AswaniAgizo la rais William Ruto kwa maafisa wa polisi kuwapiga risasi na kuwajeruhi miguuni wahalifu ambao wanatumia maandamano ya vijana wa kizazi cha Gen-Z kuvuruga amani na kupora […]
-
Serikali yatakiwa kuweka mikakati mwafaka kabla ya kurejelewa uchimbaji madini Pokot magharibi
Na Benson aswani,Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameitaka serikali ya kitaifa kuweka mikakati ya usalama maeneo ya kuchimba migodi katika kaunti hiyo kabla ya kuruhusu shughuli hiyo kurejelewa rasmi. […]
-
Makamanda wa rais Pokot Magharibi waendelea kutetea utendakazi wake
Na Benson Aswani,Viongozi mbali mbali wandani wa rais William Ruto katika kaunti ya Pokot Magharibi wameendelea kutetea utendakazi wa serikali ya Kenya kwanza chini ya uongozi wa rais Ruto licha […]
-
Poghisio ashutumu mauaji ya watoto katika kaunti ya Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameshutumu vikali visa vya kupotea watoto na kupatikana wakiwa wameuawa, ambavyo vimeripotiwa kutekelezwa na raia kutoka taifa jirani la […]
-
Raia kutoka mataifa ya kigeni wanaoishi Pokot Magharibi kukaguliwa upya
Na Benson Aswani,Kamati ya usalama kaunti ya Pokot magharibi imeagiza raia kutoka mataifa ya kigeni ambao wanaishi katika kaunti hiyo kukaguliwa upya ili kuthibitisha uhalali wa vyeti vinavyowaruhusu kuendeleza shughuli […]
-
Watu ‘wala watu’ Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kushutumu visa vya watoto wenye umri mdogo kutoweka katika njia zisizoeleweka na kisha kupatikana wakiwa wameuliwa. Wakiongozwa na mbunge wa Sigor […]
-
Wadau wa elimu Pokot magharibi wapongeza kuzinduliwa basari na serikali ya kaunti
Na Emmanuel Oyasi,Wadau mbali mbali katika sekta ya elimu kaunti ya Pokot magharibi wamepongeza hatua ya kuzinduliwa basari ya serikali ya kaunti katika hafla ambayo iliandaliwa ijumaa iliyopita katika shule […]
-
Msako wa raia wa kigeni wanaoishi Pokot magharibi bila Kibali waanzishwa
Na Emmanuel Oyasi,Serikali imetangaza msako wa raia wa mataifa ya kigeni ambao wanaishi katika kaunti ya Pokot magharibi bila stakabadhi zinazowaruhusu kuwa hapa nchini. Akizungumza kwa niaba ya kamishina, msaidizi […]
Top News