News
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MPANGO WA KUANGAZIA MATUMIZI YA ARDHI.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kupitia wizara ya ardhi inaendelea kuangazia mpango wa jinsi ardhi nzima ya kaunti hiyo itapangiliwa katika shughuli mbali mbali, mpango ambao umekuwa ukishughulikiwa kuanzia […]
-
MAAFISA WA KDF WASUTWA KWA MADAI YA KUWAHANGAISHA WANANCHI LAMI NYEUSI.
Viongozi kaunti ya Pokot magharibi wamewasuta maafisa wa usalama ambao wanaendesha oparesheni ya kuwakabili wahalifu ambao wamekuwa wakiendeleza wizi wa mifugo katika kaunti 6 za kaskazini mwa bonde la ufa, […]
-
KINDIKI ALAUMIWA KWA KUENDELEA KUDORORA USALAMA MIPAKANI PA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.
Viongozi kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kutoa shinikizo kwa waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki kutimiza ahadi yake ya kuwaajiri maafisa wa NPR ili […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAONYWA DHIDI YA KUJIHUSISHA NA SIASA ZA MAPEMA.
Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole ni kiongozi wa hivi punde kuwasuta viongozi ambao wanaendeleza siasa za mwaka 2027 mwaka mmoja tu tangu taifa kutoka kwenye msimu wa […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA UKEKETAJI UNAONDELEZWA KISIRI NA BAADHI YA WAZAZI.
Viongozi kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia visa vya ukeketaji ambavyo vinaendelezwa kisiri baadhi ya maeneo ya kaunti hiyo licha ya juhudi za viongozi na mashirika mbali mbali ya kijamii […]
-
ALEUTUM: VISA VYA UTOVU WA USALAMA VIMEPUNGUA KWA ASILIMIA MOJA PEKEE POKOT MAGHARIBI TANGU KUANZA OPARESHENI DHIDI YA WAHALIFU.
Mwakilishi kina mama katika kaunti ya Pokot magharibi Rael Aleutum amesema kwamba visa vya utovu wa usalama maeneo ya mipaka ya kaunti hiyo vimepungua kwa asilimia ndogo sana tangu kuanza […]
-
KINDIKI ALAUMIWA KUFUATIA MAUAJI YA MTU MMOJA LAMI NYEUSI.
Viongozi kaunti ya Pokot magharibi wamelaani vikali kisa cha kuuliwa mtu mmoja eneo la Lami nyeusi na wavamizi wanaoaminika kutoka kaunti jirani. Wakiongozwa na naibu gavana kaunti hiyo Robert Komole, […]
-
GAVANA KACHAPIN AMSUTA LONYANGAPUO KWA KUTELEKEZA MIRADI ALIYOANZISHA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amesifia jengo jipya la bunge la kaunti hiyo analosema kwamba litakuwa bunge la kisasa litakalotoa mazingira bora kwa waakilishi wadi kutekeleza shughuli […]
-
ONYANCHA: MASOMO YA SEKONDARI YA MSINGI YAMEFAULU PAKUBWA KIPKOMO.
Shughuli za masomo katika shule ya sekondari ya msingi eneo la Kipkomo, pokot kusini kaunti ya Pokot magharibi zinaendelea vyema kulingana na matarajio. Haya ni kulingana na mkurugenzi wa elimu […]
-
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA JUHUDI ZA KUKABILI MAKALI YA UKAME KATIKA BAADHI YA MAENEO YA POKOT MAGHARIBI.
Naibu kamishina eneo la pokot ya kati Jeremiah Tumo amesema kwamba serikali inaendelea kuweka mikakati ambayo itahakikisha kwamba ukame ambao unaendelea kushuhudiwa maeneo mbali mbali ya kaunti ya Pokot magharibi […]
Top News